- This event has passed.
FIREFLY BAGAMOYO SATURDAY NIGHT LIVE!!
July 26 @ 7:30 pm - 11:30 pm
Free
Coming up this Saturday 26th July at Firefly Bagamoyo, we have our local legends Vitali Maembe and Watupamawe Band
Live on stage with their big party vibes.
Come and enjoy the music, dancing, drinks and delicious food.
See you all there.
Entrance is free
Start time 8pm
🔥🎶🔥🎶🔥🎶
Hiki hapa Jumamosi hii tarehe 26 Julai pale Firefly Bagamoyo, tunawaleta mashujaa wetu wa hapa nyumbani Vitali Maembe na Watupamawe Band
Wakiwa jukwaani moja kwa moja na mitikisiko yao ya nguvu ya sherehe.
Njoo ufurahie muziki, kucheza, vinywaji na chakula kitamu.
Tukutane wote pale.
Kiingilio ni bure
Muda wa kuanza ni saa 2 usiku