
- This event has passed.
HABANAHABA DANCE EXTRA
August 18, 2023 @ 8:00 pm
Tsh5000
Habari wapendwa katika Dance
Kwa mara nyingine tena
Tunawakaribisha.
ASEDEVA TANZANIA
Kinondoni manyanya, Ikungi street.
Kwenye Event yetu Pendwa ya
HABA NA HABA EXTRA
Tarehe 18:08:2023
Kuanzia saa2:00 usiku.
Kiingilio mlangoni ni 5000/= tsh.
Mwambie rafiki yako awaambie Marafiki zake tukutane sote, Hi si ya kukosa wapendwa wa burudani za jukwaani.