Loading Events

  • This event has passed.

JAMBO AFFAIRS

October 18, 2024 - October 20, 2024

Free

Venue

General Tyre
General Tyre, Arusha
Arusha, Tanzania, United Republic of
+ Google Map

Organizer

JAMBO FAIR
Phone:
0752960397

Details

Start:
October 18, 2024
End:
October 20, 2024
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Arusha

Hellow Hellow!
:
Hii ni kwa Wafanyabiashara wote Afrika Mashariki mnakaribishwa sana sana kushiriki Mnada wa Kishua utakaofanyika Arusha Mjini Viwanja vya General Tyre —Njiro
:
Kwa mtonyo wa Laki 1 tu kwa siku 3 mfululizo, tarehe 18,19 & 20 Mwezi wa 10 mwaka huu huu 2024.
….imagine kutakua na watu wasiopungua 2500 kwenye mwamvuli mmoja, yani ni hiviii watu watakulaaaaa, watashop mavitu makali makali ya kila aina na kunywaaaa 👌🏾
Bila kusahau michezo ya watoto utakuepo, watoto wataenjoy kwa michezo yao ya aina zote.
:
Yani ni kutengeneza pesa na kula Bataaaa!
:
#Usipange kukosa ndugu yangu, njoo ufungue Moyo.

Kwa maelezo zaidi whatsapp no +255 752 960 397