
- This event has passed.
JUKWAA HURU – COMPTEMPORARY DANCE
August 3, 2023 @ 7:30 pm - 9:30 pm
Tsh2000 – Tsh10000
Jukwaa Huru is back and coming to you this August.
Come and enjoy the dance performances at Muda Kona.
Thursday 03.08.2023
⏱️ 07:30PM
Entry price – You choose
2,000tzs – i love dance but i still have dawasa to pay
5,000tzs – i love dance but i need luku money for home
10,000tzs – i love dance. dawasa is paid & luku is paid
Jukwaa Huru inakujia tena mwezi wa nane.
Njoo ufurahie maonesho ya dansi hapa Muda Kona
Alhamisi 03.08.2023
1:30 jioni
Chagua kiingilio hapo chini
2,000tzs ninapenda dansi lakini nahitaji kulipa dawasa
5,000tzs ninapenda dansi lakini nahitaji kulipa luku nyumbani
10,000tzs ninapenda dansi. nimelipa dawasa na nimelipa luku