JUMATANO GROOVE
November 4 @ 7:30 pm
Free
𝐉𝐔𝐌𝐀𝐓𝐀𝐍𝐎 𝐆𝐑𝐎𝐎𝐕𝐄 #𝟏𝟗𝟑: 𝐁𝐋𝐀𝐂𝐊 𝐐𝐔𝐄𝐄𝐍 (𝐓𝐙) 🎶🔥
Get ready for an exciting edition of Jumatano Groove with Tanzanian hip-hop artist Black Queen TZ! 🇹🇿🎤
Known for her unique voice and powerful stage presence, Black Queen TZ has made her mark on the Tanzanian hip-hop scene with tracks like “NAKUSUBIRI” and appearances in major hip-hop ciphers such as “BUSINESS TIME,” “WASICHANA WANACHANA” and “MIAKA 30 YA BONGO FLEVA.” She is currently captivating listeners with her latest track, “UMEROGWA.” Don’t miss her live performance at Le Jardin!
📅 Wednesday, 4th November 2026
⏰ 7:30 PM
📍 Le Jardin – Alliance Française de Dar es Salaam
🎟️ Free Entrance
[𝐌𝐔𝐙𝐈𝐊𝐈] 𝐉𝐔𝐌𝐀𝐓𝐀𝐍𝐎 𝐆𝐑𝐎𝐎𝐕𝐄 #𝟏𝟗𝟑: 𝐁𝐋𝐀𝐂𝐊 𝐐𝐔𝐄𝐄𝐍 (𝐓𝐙) 🎶🔥
Jiandae kwa toleo maalum la Jumatano Groove pamoja na msanii wa hip-hop kutoka Tanzania, Black Queen TZ! 🇹🇿🎤
Akijulikana kwa sauti yake ya kipekee na uwezo mkubwa wa jukwaani, Black Queen TZ amejijengea jina katika muziki wa hip-hop nchini kupitia nyimbo kama “NAKUSUBIRI” na kushiriki katika miradi mikubwa ya hip-hop kama “BUSINESS TIME,” “WASICHANA WANACHANA” na “MIAKA 30 YA BONGO FLEVA.” Kwa sasa anawavutia mashabiki kupitia wimbo wake mpya, “UMEROGWA.” Usikose onyesho lake la moja kwa moja Le Jardin!
📅 Jumatano, 4 Novemba 2026
⏰ Saa 1:30 usiku
📍 Le Jardin – Alliance Française de Dar es Salaam
🎟️ Hakuna Kiingilio
#AllianceFrancaise #DarEsSalaam #JumatanoGroove #BlackQueenTZ #HipHop #BongoFlava