- This event has passed.
JUMATANO GROOVE
November 6, 2024 @ 7:30 pm
FreeJUMATANO GROOVE: Ellisha James (TZ) @ellishajames
Ellisha James is a versatile hip-hop artist and Kilimanjaro mountain tour guide from Arusha, known for blending hardcore rap lyrics with captivating melodies. His standout flows delve into themes of street life, hard work, urban culture, and social issues, reflecting his deep roots in the Unga Ltd area where he was born and raised. Ellisha will be wowing the audience with a live Hip-Hop band set. Don’t miss it!
RECAP
On Wednesday, 6th of November at 7:30 pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam
Free Entrance
________________
[MUSIC] JUMATANO GROOVE: Ellisha James (TZ) @ellishajames
Ellisha James ni msanii mahiri wa muziki wa hip-hop na mwongoza watalii wa Mlima Kilimanjaro kutoka Arusha, anayejulikana kwa kuchanganya mashairi makali ya rap na melody zinazovutia. Kwenye nyimbo zake za kipekee, anazungumzia maisha ya mtaani, kazi ngumu, utamaduni wa mijini, na masuala ya kijamii, akiakisi asili yake kutoka Unga Ltd, eneo alilozaliwa na kukulia. Ellisha atawakonga nyoyo watazamaji kwa seti ya muziki ya bendi ya hip-hop moja kwa moja. Usikose!
MUHTASARI
Jumatano, tarehe 6 Novemba saa 1:30 usiku
Kakita Alliance Française ya Dar es Salaam
Kiingilio Bure