- This event has passed.
JUMATANO GROOVE -HILARY MORE
November 22, 2023 @ 7:30 pm
Free[MUSIC] JUMATANO GROOVE – Hilary More
Hilary More, the dynamic Tanzanian musician, live performer, and front man of both the Hilary More Band and Cocodo Band, brings an unparalleled musical experience to the stage. His signature style blends the unexpected, incorporating dishware sounds, animal voice mimicry, and mesmerising percussive beats created through oral wizardry using his mouth and cheeks. What makes his performances truly unforgettable is his passionate use of the traditional calabash instrument, adding an authentic touch to his captivating sound.
Don’t miss out on this truly unique performer.
RECAP
On Wednesday, 22nd of November at 7:30pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam
Free Entrance Every Wednesday
___________________________
[MUSIC] JUMATANO GROOVE – Hilary More
Hilary More, Mwanamuziki mahiri wa Tanzania, live performer, na muongozaji w bendi ya Hilary More pamoja na bendi ya Cocodo , anatuletea uzoefu wa Muziki usio na kifani ndani ya jukwaa. Mtindo wake wa kuchanganya sauti zisizotarajiwa ,zinazojumuisha sauti za vyombo, mwigo wa sauti za wanyama na midundo ya kusisimua inayoundwa kupitia ujuzi wa kutumia mdomo na mashavu yake. Kinachofanya utendaji wake usisahaulike ni matumizi yake ya ala ya kiutamaduni ya kibuyu , na kuongezea mguso halisi wa sauti yake ya kuvutia.
Usipange kukosa burudani hii ya kipekee.
Jumatano, tarehe 22 Novemba saa 1:30 jioni
Mahali: Alliance Française ya Dar es Salaam
Hakuna kiingilio kila siku ya Jumatano