JUMATANO GROOVE -JOHN KITIME
November 25 @ 7:30 pm
Free
𝐉𝐔𝐌𝐀𝐓𝐀𝐍𝐎 𝐆𝐑𝐎𝐎𝐕𝐄 #𝟏𝟗𝟔: 𝐉𝐎𝐇𝐍 𝐊𝐈𝐓𝐈𝐌𝐄 – 𝐌𝐔𝐙𝐈𝐊𝐈 𝐖𝐀 𝐃𝐀𝐍𝐒𝐈 🎶🔥
Get ready for an evening of live music with John Kitime and the JFK Band! 🎸
Take a musical journey through the history of Tanzanian music, from the 1950s to the 2000s, as the band brings iconic songs and timeless sounds back to life. After showcasing their incredible instrumental and vocal talents, the musicians will invite you to dance, sing along and even join them on stage for an interactive musical experience!
📅 Wednesday, 25th November 2026
⏰ 7:30 PM
📍 Le Jardin – Alliance Française de Dar es Salaam
🎟️ Free Entrance
[𝐌𝐔𝐙𝐈𝐊𝐈] 𝐉𝐔𝐌𝐀𝐓𝐀𝐍𝐎 𝐆𝐑𝐎𝐎𝐕𝐄 #𝟏𝟗𝟔: 𝐉𝐎𝐇𝐍 𝐊𝐈𝐓𝐈𝐌𝐄 – 𝐌𝐔𝐙𝐈𝐊𝐈 𝐖𝐀 𝐃𝐀𝐍𝐒𝐈 🎶🔥
Jiandae kwa jioni ya muziki wa moja kwa moja pamoja na John Kitime na bendi ya JFK! 🎸
Furahia safari ya muziki kupitia historia ya muziki wa Tanzania, kuanzia miaka ya 1950 hadi 2000, huku bendi ikiibua tena nyimbo maarufu na midundo ya kipekee. Baada ya kuonesha vipaji vyao vya uimbaji na upigaji wa vyombo vya muziki, wanamuziki watawaalika watazamaji kucheza, kuimba pamoja nao na hata kupanda jukwaani kwa ajili ya kushiriki katika burudani hii ya muziki!
📅 Jumatano, 25 Novemba 2026
⏰ Saa 1:30 usiku
📍 Le Jardin – Alliance Française de Dar es Salaam
🎟️ Hakuna Kiingilio
#AllianceFrancaise #DarEsSalaam #JumatanoGroove #JohnKitime #MuzikiWaDansi #TanzanianMusic #LiveMusic #JFKBand