- This event has passed.
JUMATANO GROOVE – Patrick Bebey (FR)
March 6, 2024 @ 7:30 pm
FreeJUMATANO GROOVE – Patrick Bebey (FR)
Originally from Cameroon, Patrick Bebey is a singer pianist, Pygmy flute and sanza (kalimba) player. This sought-after musician has collaborated on stage with such diverse artists as Mory Kanté, Papa Wemba, Roy Ayers, Miriam Makeba, the Ladysmith Black Mambazo, John Williams, Polo and Pan, Arcade Fire to name a few. The melodies of his compositions are placed on rhythmic bases of the black continent. A refined cocktail of African sun, pop and jazz music, to enjoy absolutely.
RECAP
On Wednesday, 6th of March at 7:30pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam
Free Entrance Every Wednesday
__________
[MUSIKI] JUMATANO GROOVE – Patrick Bebey (FR)
Asili yake ni Cameroon, Patrick Bebey ni mpiga kinanda, mwimbaji, filimbi na mchezaji sanza (kalimba). Mwanamuziki huyu mashuhuri alishirikiana jukwaani na wasanii mbalimbali kama vile Mory Kanté, Papa Wemba, Roy Ayers, Miriam Makeba, the Ladysmith Black Mambazo, John Williams, Polo na Pan, Arcade Fire kwa kutaja wachache. Nyimbo zake zimewekwa kwenye misingi ya midundo ya bara jeusi.
Mchanganyiko wa muziki wa Kiafrika, pop na jazz, wa kufurahia kabisa.
RECAP
Siku ya Jumatano, tarehe 6 Machi saa 1:30 jioni
Alliance Française ya Dar es Salaam
Hakuna Kiingilio.