- This event has passed.
JUMATANO GROOVE – SANKROX (CH)
March 20, 2024 @ 8:00 pm
Free[MUSIC] LES JOURS DE LA FRANCOPHONIE 2024: JUMATANO GROOVE – Sankrox (CH) & DJ BLACKIIE (TZ) 🎶
Experience the eclectic fusion of Swiss band Sankrox. Sankrox takes their audience from the lively rhythm of Brazilian samba to the raw emotions of French blues, and through the captivating sounds of Cameroonian tchamassi. Each performance is an immersive journey, an unforgettable experience where pop, rock, and rap converge. Their unique blend of Francophone music promises a global musical journey you won’t forget. And following on we have DJ BLACKIIE with all the TZ grooves and singeli mixes.
RECAP
On Wednesday, 20th of March 8:00pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam
Free Entrance Every Wednesday
_____________________________
[MUSIKI] LES JOURS DE LA FRANCOPHONIE 2024: JUMATANO GROOVE – Sankrox (CH) & DJ BLACKIIE (TZ) 🎶
Furahia mchanganyiko wa kipekee wa bendi ya Sankrox ya Uswizi . Sankrox huwachukua watazamaji wao kutoka kwa mdundo wa kusisimua wa samba ya Brazil na kuwapelekea Hadi kwenye hisia kali za blues za Kifaransa, na kwa kupitia sauti za kuvutia za tchamassi ya Kameruni. Kila utendaji ni safari ya kina, tukio lisiloweza kusahaulika ambapo pop, rock, na rap hukutana. Mchanganyiko wao wa kipekee wa muziki wa Kifaransa unaahidi safari ya kimataifa ya muziki ambayo hutasahau. Na tukifuatilia tunaye DJ BLACKIIE mwenye michanganyiko yote ya TZ na singeli.
Siku ya Jumatano, tarehe 20 Machi 2:00 usiku
Alliance Française ya Dar es Salaam
Kila jumatano. Hakuna kiingilio