- This event has passed.
JUMATANO GROOVE – SYSSI MANANGA (DRC/BE
November 15, 2023 @ 7:30 pm
FreeJUMATANO GROOVE – Syssi Mananga (DRC/BE)
Multiple Award Winning singer-songwriter, Syssi Mananga was revealed to the public with her first album “Retour aux Sources’ ‘ (Back to Roots, 2013). Her sound is a fusion of musical styles at the crossroads of Kongo rhythms, jazz, soul, zouk and pop. The Congolese-Belgian artist innovates with songs in Lingala, French, English and Spanish. Her latest album “Mopepe Mama’’ (2021) was acclaimed by music critics worldwide. Syssi’s songs will transport you with themes around the pride for one’s origins, the absurdity of war through the eyes of a child soldier, the courage to stand for freedom, the need for respect for the environment, as well as love and forgiveness.
Don’t miss out on this other-worldly performance from Syssi
RECAP
On Wednesday, 15th of November at 7:30pm
At the Alliance Française of Dar Es Salaam
Free Entrance
_______________________________
[MUZIKI] JUMATANO GROOVE – Syssi Mananga (KONGO/UBELGIJI)
Mwimbaji na mtunzi wa nyimbo aliyeshinda tuzo nyingi, Syssi anayetambulika na albamu yake ya kwanza ijulikanayo kama “Retour aux Sources’ ‘ (mwanzoni 2013). Sauti yake ina mchanganyiko wa mitindo mbalimbali ya muziki yenye miondoko ya Kikongo, jazz, soul, zouk na pop. Msanii wa kike wa Kongo-Ubelgiji anayefanya mabadiliko ya nyimbo katika lugha ya Kilingala, Kifaransa , Kingereza na Kispanish. Albamu yake ya hivi karibuni ijulikanayo kama “Mopepe Mama’’ (2021) iliungwa mkono na watunzi mbalimbali wa muziki ulimwenguni. Nyimbo za Syssi zitakufanya kutambua fahari ya asili ya mtu, ujasiri wa kivita kupitia macho ya Askari mtoto , ujasiri wa kusimama kwa uhuru, haja ya kuwa na heshima katika mazingira pamoja na upendo na msamaha.
Usikose burudani hii kutoka kwa Syssi
Siku ya Jumatano, 15 Novemba saa 1:30 jioni
At the Alliance Française ya Dar Es Salaam
Hakuna kiingilio