
- This event has passed.
JUMATANO GROOVE WITH ALIDDEKI
November 1, 2023 @ 7:30 pm
Free
JUMATANO GROOVE – TREMPLIN: Aliddeki
Get ready to be electrified by Aliddeki Brian. He’s not just a recording artist, educator, and traditional Ugandan multi-instrumentalist; he’s a true musical force.
His music is a captivating blend of jazz, world influences, and pop that defies boundaries. Aliddeki is currently on an exhilarating TREMPLIN: An East African Tour taking over 7 cities in the region and leaving his musical mark on each one. Don’t miss this musical odyssey!
RECAP
On Wednesday, 1st of November at 7:30pm
At the Alliance Française of Dar Es Salaam
Free Entrance
________________________________
[MUZIKI] JUMATANO GROOVE – TREMPLIN: Aliddeki
Kuwa tayari kwa burudani ya Muziki kutoka kwa Aliddeki Brian. Yeye sio tu msanii wa kurekodi ,mwalimu au mpiga vyombo mbali mbali vya muziki wa jadi Uganda , bali yeye ni msanii mwenye kipaji kikubwa.
Muziki wake ni mchanganyiko wa nyimbo mbalimbali unaovutia duniani, na pop zinazovuka mipaka. Kwasasa Aliddeki yupo kwenye ziara ya kusisimua TREMPLIN: ziara ya Afrika Mashariki ambayo itachukua zaidi ya miji 7 hapo na kuacha alama yake ya Muziki kwa kila mmoja.
Usipange kukosa safari hii ya muziki ya kustaajabisha!
Siku ya jumatano, tarehe 1 Novemba saa 1:30 usiku
Mahali Alliance Française ya Dar Es Salaam
Hakuna kiingilio