- This event has passed.
JUMATANO GROOVE – WAREMBO & WAMOTO BAND (TZ)
January 24, 2024 @ 7:30 pm
FreeJUMATANO GROOVE – Warembo & Wamoto Band (TZ): Women of Singeli
Singeli music, which is the most popular music in Tanzania, has more than 95% male artists, a situation that is detrimental to the culture, the development of the arts, and society as a whole.
WAREMBO & SANAA, is a project which aims to empower young female groups involved in art. Empowerment and capacity building focus to shape, nourish and improve their art and career mainly in singeli music. Wamoto band were the first to come from th Warembo & Sanaa project and will be taking the stage with a new singeli girl group from the second iteration of Warembo & Sanaa
.
RECAP
On Wednesday, 24th of January at 7:30pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam
Free Entrance Every Wednesday
__________________________________
MUZIKI] JUMATANO GROOVE – Warembo & Wamoto Band (TZ): Wanawake wa Singeli
Muziki wa Singeli ambao ni muziki unaopendwa zaidi nchini Tanzania, una wasanii wa kiume zaidi ya asilimia 95, hali inayoharibu utamaduni, maendeleo ya sanaa na jamii kwa ujumla.
WAREMBO & SANAA, ni mradi unaolenga kuwawezesha vijana wa kike wanaojihusisha na sanaa. Uwezeshaji na kujenga uwezo wa kuunda, kurutubisha na kuboresha sanaa na taaluma zao hasa katika muziki wa singeli. Wamoto band ndio walikuwa wa kwanza kutoka katika mradi wa Warembo & Sanaa na watapanda jukwaani na kikundi kipya cha wasichana wa singeli kutoka onyesho la pili la Warembo & Sanaa.
.
Siku ya Jumatano, tarehe 24 Januari saa 1:30 jioni
Alliance Française ya Dar es Salaam
Hakuna kiingilio, Kila Jumatano