- This event has passed.
JUMATANO GROOVE with KOM ZOTT & THE WARRIORS FROM THE EAST
October 4, 2023 @ 7:30 pm
FreeJUMATANO GROOVE with KOM ZOTT (RÉ) & THE WARRIORS FROM THE EAST (TZ)
Get ready for a musical explosion as Kom Zott and The Warriors from the East unite for the first time! They’re dropping a brand-new song, born from a chance meeting at the Access conference last year. The beat was forged at Kom Zott’s La Réunion studios, while vocals were recorded by Warriors from the East in Arusha. They fuse African percussion with Western instruments, creating a unique sound that’s all about unity, peace, and love.
RECAP
On Wednesday, 4th of October at 7:30pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam
Free Entrance Every Wednesday
__________________________________
[MUZIKI] JUMATANO GROOVE na KOM ZOTT (RÉ) & THE WARRIORS FROM THE EAST (TZ)
Kuwa tayari kwa Muziki mnene kwani Kom Zott na The Warriors kutoka mashariki wanaungana kwa mara ya kwanza! Wakiachilia wimbo mpya kabisa, uliotungwa mwaka jana katika mkutano wa Access. Mdundo huo ulizinduliwa katika studio za Kom Zott’s za Réunion, Huku sauti zikirekodiwa na Warriors kutoka mashariki mwa jiji la Arusha. Wakichanganya midundo ya kiafrika pamoja na ala za kimagharibi, kuunda sauti ya kipekee inayolenga umoja amani na upendo.
MUHTASARI
Siku ya Jumatano, Tarehe 4 Octoba saa 1:30 jioni
Mahali ni: Alliance Française ya Dar es Salaam
Kila siku ya Jumatano bila kiingilio.