
- This event has passed.
JUMATANO LOVE
May 7 @ 7:30 pm
Free
Kwa mapenzi na heshima makubwa ninakukaribisha Alliance Française – Dar es salaam (@af_dar) siku ya Jumatano Mei 7, 2025.
Mimi na Bendi yangu tutakuwa tuna-host #JumatanoLove
It’s going to be a fun evening.
DO NOT MISS THIS!!
Karibu sana 🤍