
- This event has passed.
KALAAM SALAAM:
November 2, 2023 @ 7:00 pm
Free
KALAAM SALAAM: Je, Kuna Haja ya Kuweka Mipaka ya Kisanaa Kwenye Fasihi
Jiunge nasi Alhamisi, 2 Novemba katika Kalam Salaam! Njoo ushiriki kwenye majadiliano ya wote juu ya mada inayosema: je, kuna haja ya kuweka mipaka ya kisanaa kwenye fasihi? Kwa wapenda kipaza huru, karibuni kutumbuiza, kusoma, ama kughani katika Kalam Salaam!
MUHTASARI
Siku: alhamisi – 2 Novemba 2023
Muda: Saa 1 Usiku
Mahali: Alliance Française Dar es Salaam
Kiingilio : Bure
___________________________
[LITERATURE] KALAM SALAAM: Do We Need to put Creative Limits on Literature
Join us for a roundtable discussion on the boundaries of art in literature. Open mic session available for those who dare to share their creativity!
RECAP
On Thursday, 2nd of November at 7:00pm
At the Alliance Française of Dar Es Salaam
Free Entrance