Loading Events

  • This event has passed.

KALAM SALAAM

March 7, 2024 @ 7:00 pm

Free

Venue

Alliance Française de Dar
Alliance Francaise, Dar es Salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
+255 22 213 1406

Organizer

Alliance Française de Dar
Phone:
+255 22 213 1406
Email:
info@afdar.com
View Organizer Website

Details

Date:
March 7, 2024
Time:
7:00 pm
Cost:
Free
Event Categories:
,

Other

Area(Town/City)
Dar es Salaam

Ushairi wa kale au wa kisasa? Karibuni kushiriki kwenye majadiliano haya! Usiku huu wa fasihi utaangaza juu ya nguvu ya mashairi ya kale na ya kisasa kwenye fasihi bunifu! Watakaoshiriki katika mjadala huu ni mshairi mashuhuri wa Kiswahili, Ustadh Amiri Andanenga, na mshairi Dotto Rangimoto miongoni mwa wengine.
Mwanafasihi na mtumbuizaji mashuhuri MAALIM NASH (@maalimnash ) atakuwepo kwa burudani tele! Kwa wanafasihi wote, hii si ya kukosa!
__________

Classical or modern? Join the discourse! This event sparks a conversation on the profound impact of Tanzanian poetry, bridging the worlds of tradition and contemporary literary works! Joining the panel discussion is prolific Swahili poet Ustadh Amiri Andanenga, award-winning poet and novelist Dotto Rangimoto among others with an electric performance from rapper MAALIM NASH!