Loading Events

  • This event has passed.

KALAM SALAAM

February 6 @ 7:00 pm

Free

Venue

Alliance Française de Dar
Alliance Francaise, Dar es Salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
+255 22 213 1406

Organizer

Alliance Française de Dar
Phone:
+255 22 213 1406
Email:
info@afdar.com
View Organizer Website

Details

Date:
February 6
Time:
7:00 pm
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Alliance Française de Dar, Dar Es Salaam

FASIHI] KALAM SALAAM: Sherehe ya Kila Mwezi ya Utamaduni wa Fasihi ya Kiswahili 🪶

Je fasihi inaweza kubadilisha dunia? Njoo ufahamu kwa namna gani kwenye usiku wa majadiliano na chemsha bongo ya fasihi. Jiunge nasi Alhamis ya kwanza ya Februari katika kalam salaam ya kipekee yenye burudani na zawadi kemkem. Na kama utapenda kutoa salaam, kipaza huru nacho kipo kwa ajili yako. Unaanzaje kukosa?

Hii ni sehemu ya FEF CREATION AFRICA TANZANIA.Tunawashukuru Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania (@franceintanzania) na Alliance Française ya Dar es Salaam (@af_dar) kwa kuunga mkono mradi wetu chini ya FEF Creation Africa Project. Endelea kufuatilia na jiunge nasi #creationafricatanzania kwa habari zaidi.
Tembelea washirika wetu hapa chini kujifunza zaidi kuhusu miradi yao:

@ajabuajabu