Loading Events

  • This event has passed.

KALAM SALAAM: Siku ya Kiswahili Duniani

July 4 @ 8:00 pm

Free

Venue

Alliance Française de Dar
Alliance Francaise, Dar es Salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
+255 22 213 1406

Organizer

Alliance Française de Dar
Phone:
+255 22 213 1406
Email:
info@afdar.com
View Organizer Website

Details

Date:
July 4
Time:
8:00 pm
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar es Salaam

KALAM SALAAM: Siku ya Kiswahili Duniani

Katika kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani, Kalam Salaam inakukaribisha kwenye mjadala wa kuvutia na wanafasihi mashuhuri juu ya fursa mbalimbali zitokanazo na lugha hii pendwa ya Kiswahili.

Usiku wetu utaanza na onyesho la kipekee la filamu ya “Vuta N’Kuvute,” iliyotokana na riwaya ya kusisimua ya nguli Shafi Adam Shafi, ikifuatiwa na burudani kutoka kwa Siti & the Band.

Kwa wapenzi wote wa fasihi, huu si usiku wa kukosa kwani hakuna kiingilio!

#KalamSalaam #KitabuNiZawadi #MASIKIDU2024 #VutaNKuvute

_____________________

[LITERATURE] KALAM SALAAM: World Kiswahili Day

In celebration of World Kiswahili Day, Kalam Salaam invites you to join us for a night dedicated entirely to the beauty and richness of Kiswahili literature! The evening will feature engaging panel discussions with award-winning prominent writers, filmmakers, and artists, providing insightful conversations and thought-provoking ideas.

The highlight of the night will be an exclusive screening of the adaptation of Shafi Adam Shafi’s “Vuta N’Kuvute,” beautifully made into film by the talented director Amil Shivji followed by the riveting performance from Siti & the Band.

This is a spectacular evening of Swahili culture you won’t want to miss!