
- This event has passed.
KIOTA DANCE PERFORMANCE
July 24 @ 7:00 pm
Free
Msimu wa pili wa Kiota Cha Dansi – inayoendana na kauli mbiu ya: ‘Nafasi ya Wanawake Katika Dansi Tanzania.’
Jiunge nasi Alhamisi hii, Julai 24, Saa 1 Usiku pale @goethetanzania kwenye msimu wa pili wa Kiota Cha Dansi 2025, inaandaliwa na Nantea Dance Company kwa ushirikiano na Goethe-Institut Tanzania. Pata fursa ya kushuhudia maonyesho ya dansi yenye nguvu pamoja na mijadara maalum inayosherehekea nafasi muhimu ya wanawake katika kuendeleza dansi hapa Tanzania.
✨ Washiriki:
Nipaeli Mtana – Msanii na Mtetezi wa haki za Watu wenye ulemavu / Nipa Foundation
Angel Nyigu – Mchezaji na mtunzi wa dansi
Pili Maguzo – Mchezaji na mtunzi wa dansi/Bahati Female Band
Shamour – Mchezaji na mtunzi wa dansi/Queens Dance Crew
Muongozaji wa mjadala: Irene Themistocles
Usikose! Kuja kusherehekea ubunifu na uongozi wa wanawake kwenye dansi Tanzania.
——————————————————————
Kiota Cha Dansi Second Edition – Women Shaping Dance in Tanzania
Join us this Thursday, July 24 | 7 PM at Goethe-Institut Tanzania for a vibrant celebration of Tanzanian women dancers, choreographers, and leaders. Presented by Nantea Dance Company and Goethe-Institut Tanzania, this edition celebrates the power, creativity, and leadership of Tanzanian women in dance through dynamic performances and a special panel discussion featuring:
✨ Panelists:
* @nipa_the_pianist – Artist & Disability Rights Advocate (Founder, Nipa Foundation)
* @angelnyigu – Dancer & Choreographer
* @pili_maguzo – Dancer, Choreographer & Trainer (Founder, Bahati Female Band)
* @shamour_tz – Dancer & Choreographer (Founder, Queens Dance Crew)
* Moderator: @irenethemistocles255
Come connect with an inspiring community and join the conversation about women shaping the future of dance in Tanzania.
#KiotaChaDansi #WomenInDance #DanceTanzania #NanteaDanceCompany #goetheinstituttanzania