LANGUAGE CAFE!!
September 19 @ 4:00 pm - 6:00 pm
Free
LANGUAGE CAFE
Language Café is back, with even more activities to break the ice and get the conversation flowing! Whether you’re learning a new language, brushing up on your skills, or simply looking for fellow speakers to practise with, join us for a relaxed evening of coffee, bites and fun language activities. Meet new people, build your confidence and learn together through conversation, whatever your level.
❗ RECAP
📅 Saturday, 19th September 2026
⏰ 4:00 – 6:00 PM
📍 Le Jardin – Alliance Française de Dar es Salaam
🎟️ Free Entrance
——————————–
☕ [LUGHA] LANGUAGE CAFÉ
Language Café imerudi, ikiwa na shughuli nyingi zaidi za kuvunja ukimya na kuanzisha mazungumzo! 🗣️✨
Iwe unajifunza lugha mpya, unataka kuboresha ujuzi wako wa lugha, au unatafuta tu watu wa kuzungumza nao ili kufanya mazoezi, jiunge nasi kwa jioni tulivu yenye kahawa, vitafunwa na shughuli za kufurahisha za lugha.
Kutana na watu wapya, jenga kujiamini na jifunze pamoja kupitia mazungumzo, haijalishi kiwango chako cha lugha. 🌍💬
❗ TAARIFA MUHIMU
📅 Jumamosi, 19 Septemba 2026
⏰ Saa 10:00 – 12:00 jioni
📍 Le Jardin – Alliance Française de Dar es Salaam
🎟️ Hakuna Kiingilio