
- This event has passed.
LINES AND LAUGHS – MBEZI BEACH
May 31, 2023 @ 8:00 pm - 11:00 pm
Free
Hello uhali Gani ni furaha yangu kukujuza kuwa KESHO tunafungua jukwaa Jipya liitwalo LINES AND LAUGHS pale RAFIKIZ (Mbezi Beach) It’s all about USHAIRI/COMEDY/MUSIC
Kesho Kiingilio ni FREE Karibu na marafiki zako. MR.ROMANTIC NITAKUWEPO
Kwa maelekezo zaidi piga 0765322169, 0784895101 AU 0689527965.