- This event has passed.
MABADILIKO YA SIMULIZI BAINA YA VIZAZI
October 30, 2024 @ 5:00 pm - 10:00 pm
FreeUsikose tukio hili la kipekee! Novemba hii, jiunge nasi katika Kalam Salaam kwa mjadala wa kuvutia kuhusu Mabadiliko ya Masimulizi Baina ya Vizazi.
Hii ni sehemu ya FEF CREATION AFRICA TANZANIA.
Tunashukuru Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania @franceintanzania na Alliance Française ya Dar es Salaam @af_dar kwa kuunga mkono mradi wetu chini ya FEF Creation Africa Project.
Endelea kuungana nasi na fuata #CreationAfricanTanzania kwa taarifa zaidi. Tafadhali tembelea washirika wetu hapa chini ili kujua zaidi kuhusu miradi yao