Loading Events

  • This event has passed.

MAMA’S DAY OUT BEACH PARTY

October 14, 2023 @ 8:00 am - 6:00 pm

Tsh100000

Venue

THE WAVE
Africana, Kilonga Wima Area
Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
0677727202

Organizer

EKIMA CONSULTANTS
Phone:
0763 580 600
Email:
ekimaconsultants@gmail.com

Details

Date:
October 14, 2023
Time:
8:00 am - 6:00 pm
Cost:
Tsh100000
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar es Salaam

Karibuni Ladies katika event yetu ya pili ya MAMAS DAY OUT BEACH PARTY 2023 itakayonyika on the 14th October 2023 @thewaves_tz pale Mbezi Beach kuanzia 8:00AM mpaka 6:00PM jioni vyakula na vinywaji (non alcohol)vitakuwepo.

Mara hii ni swala zima la Afya ya Akili kwa Wanawake walio kwenye AJIRA, WAFANYABIASHARA na WAMAMA WA NYUMBANI.

Je, kuna utaratibu gani uliwekwa kulinda AFYA YA AKILI katika mazingira ya kazi, na Makampuni yamejikita kwa kiwango gani?

Pamoja na mambo mengine mengi tutao gea kuhusu MENOPAUSAL PROCESS kwa namna gani inaathiri na Wanawake tunaishi nayo vipi maana ni uhalisia haikwepeki.

Haya yote yataambataba na activities kama tug of war, treasure hunt na mengineyo na time zijishidia zawadi.

Na tutakuwa na Wanenaji Wabobezi.

Karibuni sana sana, kwa kiingilio cha Tsh. 100,000

Kwa maelezo zaidi piga 0763 580 600