MARAFIKI ARTS FESTIVAL EXTRA
November 7 @ 7:30 pm
Tsh.10,000
Tumefurahi sana kuona @marafikiartsfestival imewasili kwa sham sham, Yani uhakika wa burudani yenye uweredi na viwango vya juu kwa ngoma za asili na contemporary pamoja na muziki mubashara wa kiafrika umewasili.
Burudani na sherehe za kufurahia ngoma za asili na muziki wa kiafrika na utamaduni wetu utafanyika;
🗓 Tarehe za tukio:
📍 20 November – @the_slow_leopard
📍 21 & 22 November – @nafasiartspace , Dar es Salaam
📍 23 November – @fireflybagamoyo
Tarehe za MARAFIKI EXTRA:
Tarehe 7.11.2025 Ukumbi wa @the_slow_leopard
Tarehe 14.11.2025 Ukumbi wa @goethetanzania
Tarehe 19.11.2024 Ukumbi wa @goethetanzania
OFA OFA OFA ZA TIKETI ZA BEI YA MAPEMA, MWISHO WA OFA 30 OCT 2025.
Ticket za mapema zenye bei nafuu zipo tayari, Jipatie ticket yako kwa bei na nafuu zaidi kama ifutaavyo.
1. Ticket ya siku moja kwa elfu 10,000/= badala ya Elfu 15,000/=
2. Ticket ya elfu 20,000/= kwa siku 2 badala ya elfu 30,000/= Tsh
3. Ticket za elfu 30,000/= kwa siku 3 badala ya elfu 45,000/= Tsh
4. Ticket za elfu 35,000/= kwa siku zote 4 badala ya elfu 60,000/= Tsh
Mwisho wa ofa ya ticket ni Tarehe 30 Oct 2025.
Baad aya Hapo ticket zitauzwa kwa bei ya tofauti na ya ofa. Zitauzwa elfu 15,000/= kwa siku. Ukinunua tiketi mapema itakusadia kuokoa pesa yako na kuja kufurahia tamasha.
Kingilio kina cover onesho la dansi, muziki mubashara, maigizo Pamoja na mambo mengine mengi utayapata uko kwenye tamasha sanaa za uweledi, Sanaa za kusisimua, kuburudisha na kuelemisha.
TIKETI ZOTE ZINAPATIKANA KWENYE VITUA VIFATAVYO
1. @goethetanzania
2. @asedeva_tanzania
3. @af_dar
4. @nafasiartspace
5. @fireflybagamoyo
6. @muda_africa
JIPATIE TIKETI YAKO SASA. Karibu sana.
#MarafikiFestival2025 #MAF2025 #TanzaniaArts #CulturalExchange #LivePerformance #workshops #peaceandhumanity