- This event has passed.
MARAFIKI ARTS FESTIVAL
November 19 @ 7:00 pm
Free
Tarehe 19 November 2025 tutakuwa na Marafiki Extra, live watakuwepo wakali wa Afro fusion @shabo_makota & the band na pia watakuwepo @t_africa_dance wakali wa African modern dance pale Ukumbi @af_dar Upanga. Hakuna Kingilio, KARIBUNI WOTE. Tiketi za bahati zitauswa na mshindi kutangaswa siku hiyo hiyo.
Tumefurahi sana kuona @marafikiartsfestival imewasili kwa sham sham, Yani uhakika wa burudani yenye uweredi na viwango vya juu kwa ngoma za asili na contemporary pamoja na muziki mubashara wa kiafrika umewasili.
Burudani na sherehe za kufurahia ngoma za asili na muziki wa kiafrika na utamaduni wetu utafanyika;