- This event has passed.
MARAFIKI EXTRA LIVE
November 14 @ 7:30 pm
Free
Tarehe 14 November Tunaendelea na Marafiki Extra, Live watakuwepo @alamokha_ Ukumbi @goethetanzania hakuna kingilio. KARIBUNI WOTE.
Tumefurahi sana kuona @marafikiartsfestival imewasili kwa sham sham, Yani uhakika wa burudani yenye uweredi na viwango vya juu kwa ngoma za asili na contemporary pamoja na muziki mubashara wa kiafrika umewasili.
Burudani na sherehe za kufurahia ngoma za asili na muziki wa kiafrika na utamaduni wetu utafanyika;