- This event has passed.
MARAFIKI MUSIC FESTIVAL – MUSIC FROM THE PEOPLE TO THE PEOPLE
October 5, 2023 - October 7, 2023
Tsh10000 – Tsh20000Tumefurahi sana kuona @marafikimusicfestival imewasili kwa sham sham, Yani uhakika wa burudani yenye uweredi na viwango vya juu muziki wa kiafrika umewasili. Burudani na sherehe za kufurahia muziki wa kiafrika na utamaduni wetu utafanyika pale kwenye viwanja vya kijiji cha makubusho mkabala na kitu cha busi cha makumbusho kuanzia tarehe 5,6,7 Oct 2023 na kisha kumalizikia bagamoyo kwenye hotel ya @fireflybagamoyo
•
•
•
Tamasha hili pia litatoa fursa ya mijadala ya Sanaa ya muziki na Networking kwa Vijana na wadau kwenye sekta ya muziki, Pamoja na walsha zenye kujenga uwezo kwa wanamuziki na wadau mbali mbali kubailishana mawazo na taluma, kutakuwa na mfunzo nadharia ya “Music culture and heritage” “Copyrights and music low” Pamoja na “Artists Online Visibility and Opportunities” na pia kutakuwa Mambo kede kede ya kusisimua na mijadala ya pamoja kwa wadau.
•
•
Artists line up Cc @babakash @kadilida__ @dullamakabila @sammore_offical @masimbihussein @komzot974reggae_ @mzawose @carolakinasha @alamoka_ @simangavole @mkanyialeo @damiansoulmusic amini_tz @teacher_oliver @sun_xa_experiment_5 @mrjemedari @naitwasalma @fadhileemusic @amos.lovinz.official
Special thanks to our principle sponsors @fireflybagamoyo
This is part of #SANAAPRO by @franceintanzania
Produced by @asedeva_tanzania
& @weka_music