
- This event has passed.
MARAFIKI NIGHT LIVE
August 4, 2023 @ 8:00 pm - 11:00 pm
Tsh10000
Ni MARAFIKI NIGHT LIVE inawaleta kwenu @sammyjohn_tz and the Band pamoja na @3g_singeliband
Jambo Litahappen Friday 4 AUGUST 2023
Location: ASEDEVA Kinondoni Manyanya
Muda: Kuanzia 2:00 Usiku
Kiingilio: 10k
Chakula na Vinywaji Vinapatikana kwa Bei Nafuu
Ukipata hii Siri usikaenayo,Mwambie mwenzio amwambie na mwenzake kwamba hili sio Jambo la Kukosa