Loading Events

  • This event has passed.

MARAFIKI NIGHT LIVE

December 8, 2023 @ 8:00 pm

Tsh10000

Venue

ASEDEVA
ASEDEVA, Dar es Salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
0755780940
View Venue Website

Organizers

Weka Music
ASEDEVA

Details

Date:
December 8, 2023
Time:
8:00 pm
Cost:
Tsh10000
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar es Salaam

@marafikinightlive ni sehemu ya burudani za uhakika, Awamu hii tunawaletea msanii Ken Tiga @Ken_tiga kutoka Bagamoyo💃🏾🕺🏾

Pamoja na Serebuka Orchestra ni band inayoundwa na wasanii tofauti tofauti kutoka kwenye Serebuka Orchestra Workshop, mambo yatakuwa mukide burudani kwenda mbele

Mahali: ASEDEVA Kinondoni Manyanya Cc @asedeva_tanzania @marafikimusicfestival

Tarehe 08/12/2023
Muda: Kuanzia Saa 2 Usiku

Kiingilio: 10k

Chakula  na Vinywaji   Vinapatikana kwa bei nafuu.