- This event has passed.
MARAFIKI NIGHT LIVE
February 2, 2024 @ 8:00 pm
Tsh10000RDJ KWARO ni Dj Machachari sana mtu mbadi Hana mbamba kwenye maeneo yake yakujidai atashusha ngoma za kibabe sana
Tarehe 02| 02| 2024
BURUDANI YA UHAKIKA
@marafikinightlive
Mahali: ASEDEVA Kinondoni Manyanya
Muda: Kuanzia Saa 2 Usiku
Kiingilio: 10k
Chakula na Vinywaji Vinapatikana kwa bei nafuu.