
- This event has passed.
MARAFIKI NIGHT LIVE – “BAHATI FEMALE BAND”
June 2, 2023 @ 8:00 pm - 11:30 pm
Tsh10000
VIBE la MARAFIKI NIGHT LIVE LINAENDELEA
•Safari Hii ni zamu ya BAHATI FEMALE BAND @bahatifemaleband
•Siku – Ijumaa ya tarehe 2 June 2023
•Muda – Kuanzia saa 2 Usiku hadi Baadae sana.
•Mlangoni tunachangia 10k tu.,Chakula na Vinywaji ni Bwelele
•Kiwanja ni kile kile ASEDEVA Kinondoni Manyanya