
- This event has passed.
MARAFIKI NIGHT LIVE BURUDANI YA UHAKIKA
September 14, 2023 @ 8:00 pm
Tsh10000
MARAFIKI NIGHT LIVE
BURUDANI YA UHAKIKA Cc @marafikinightlive
ABENEKO & THE POSITIVE MIND baada ya kumaliza Tour yao ya ulaya sasa watapiga kwenye MARAFIKI NIGHT LIVE💃🏾🕺🏾
Wengine watakao panda jukwaani ni MSWANU GOGO VIBES Jamani msipange kukosa
Safari hii @marafikinightlive itakuwa siku ya ALHAMIS TAREHE 14| 09| 2023
Mahali: ASEDEVA Kinondoni Manyanya
Muda: Kuanzia Saa 2 Usiku
Kiingilio: 10k
Chakula na Vinywaji Vinapatikana kwa bei nafuu.