- This event has passed.
Muda Africa’s dance audition 2023
February 6, 2023 @ 10:00 am - 6:00 pm
Africa’s dance audition 2023.
We are recruiting a new class!
Is your dream to become a professional dancer? Then this is for you.
The audition will be at Muda Kona Kijitonyama
Date: 06 – 02 – 2023
Time: 10:00am.
Contact: 0676377669
Una ndoto ya kuwa dansa mwenye taaluma? Hivyo hii ni kwa ajili yako. Chuo cha Muda Africa kinafanya usaili wa dansi kwa wanafunzi wapya kwa mwaka
2023. Usaili utafanyika hapa Muda Kona, Kijitonyama. Kuanza saa nne kamili asubuhi.
06 – 02 – 2023
Muda: Saa nne asubuhi.
Mawasiliano: 0676377669