
- This event has passed.
MUSIC CONCERT LIVE!
January 26 @ 7:00 pm

Jambo letu ni leo @micasalounge_tabata
Producers na wadau wa muziki watakuwepo.
Hii ni kuwapa wasanii wachanga nafasi ya kuonyesha vipaji vyao pamoja na uzoefu wa kufanya show.
Mi Casa, Magengeni Street. Tabata.
Reservations: 0713 53 00 33