MUVI KALI
February 10 @ 7:00 pm
Free
What happens when your love story collides with your parents’ love story? 😳
Still Okay to Date (2022) follows a young couple whose relationship takes an unexpected turn when they discover their single parents have secretly been dating — and are about to get married. Awkward, hilarious, and surprisingly touching, the film explores love, family, and the messy spaces in between.
Join us next Tuesday for #MuviKali for a screening and conversation.
🗓 Tuesday, 10 February 2026
🚪 Doors open: 6:30 PM
🎥 Screening starts: 7:00 PM
📍 Goethe-Institut Dar es Salaam
🎟 Free entry | Open to the public
Come for the film, stay for the conversation. Karibuni sana! 🎬
#MuviKali #FilmScreening #AfricanCinema #goetheinstitut
***
Nini kinatokea wakati mapenzi yako yanapogongana na mapenzi ya wazazi wako? 😅
Still Okay to Date (2022) inasimulia kuhusu wapenzi vijana ambao wanajikuta katika hali ya kushangazwa wanapogundua kuwa wazazi wao wasio na wenzi wamekuwa wakidate kwa siri — na sasa wanapanga kuoana. Filamu hii ni ya kuchekesha, kugusa hisia, na kufungua mjadala kuhusu mapenzi, familia, na mahusiano.
Jiunge nasi Jumanne ijayo kwenye MuviKali kwa onyesho la filamu na mjadala.
🗓 Jumanne, 10 Februari 2026
🚪 Milango inafunguliwa: 12:30 Jioni
🎥 Filamu inaanza: 01:00 Jioni
📍 Goethe-Institut Dar es Salaam
🎟 Kiingilio bure | Wote mnakaribishwa
Njoo tuangalie filamu, baki kwa ajili ya majadiliano. Karibuni sana! 🎬