- This event has passed.
MUVI KALI – “La Petit Bande” (”The Little Gang”)
October 9, 2023 @ 8:00 pm
FreeMUVI KALI – “La Petit Bande” (”The Little Gang”) directed by Pierre Salvadori (FR)
Synopsis : Summertime. In a beautiful village in Corsica, five young schoolmates are facing a dilemma: what to do about a local factory that has been polluting their favourite river? Desperate times call for desperate measures and they decide to take radical direct action. But the adventure doesn’t go exactly as planned…
RECAP
On Monday, 9th of October at 8pm
At the Alliance Française of Dar Es Salaam
Free Entrance
____________________________________________
[SINEMA] MUVI KALI – “La Petit Bande” (”The Little Gang”) imeongozwa na Pierre Salvadori (FR)
Muhtasari : majiraya joto Katika kijiji kizuri cha Corsica, wanafunzi watano wenye umri mdogo wanakabiliwa na mtanziko: nini wafanya kuhusiana na kiwanda ambacho kimekuwa kikichafua mto wao pendwa ? Dawa ya moto ni moto hivyo wanaamua kuchukua hatua kali za moja kwa moja. Lakini tukio hilo haliendi kama lilivyopangwa…
RECAP
Jumatatu , tarehe 09 Octoba, saa mbili usiku
Mahali ni Alliance Française ya Dar Es Salaam
Hakuna kiingilio