
- This event has passed.
MUVI KALI – “Les Hirondelles de Kabul” (FR)
May 21, 2024 @ 8:00 pm
Free
MUVI KALI: “Les Hirondelles de Kabul” (FR) directed by Éléa Gobbé-Mévellec and Zabou Breitman
We follow two married couples who are diametrically opposed in two different neighborhoods of Taliban-occupied Kabul in the summer of 2001: Atiq and Mussarat have been married for 20 years and are deeply rooted in the traditions of Afghan life, while Zunaira and Mohsen, young and in love, are against these same traditions. When the lives of these couples intertwine, sacrifice will be the price to pay for love.
RECAP
On Tuesday, 21st of May at 8pm
At the Alliance Française of Dar Es Salaam
Free Entrance
__________
[CINEMA] MUVI KALI: “Les Hirondelles de Kabul” (FR) iliyoongozwa na Éléa Gobbé-Mévellec ya Zabou Breitman
Tunafuatilia wanandoa wawili walio kinyume kabisa katika vitongoji viwili tofauti vya Kabul inayokaliwa na Taliban katika msimu wa joto wa mwaka 2001: Atiq na Mussarat wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 20 na wamezama kabisa katika tamaduni za maisha ya Kiafghan, wakati Zunaira na Mohsen, vijana na wenye mapenzi, wanapinga tamaduni hizo. Wakati maisha ya wanandoa hawa yanapovukana, kujitolea kutakuwa gharama ya kulipa kwa ajili ya mapenzi.
Siku ya Jumanne, tarehe 21 Mei saa mbili usiku
Alliance Française ya Dar Es Salaam
Hakuna Kiingilio !