MUVIKALI
September 15 @ 6:30 pm
Free
[CINEMA] MUVI KALI: Wajda AT 100
“Danton” by Andrzej Wajda (PL)
Set during the French Revolution, Danton explores the clash between two revolutionary leaders as they confront difficult questions of justice, freedom and political power. A timeless political drama that continues to resonate across generations.
This Muvi Kali series is supported by the Embassy of Poland.
❗ RECAP
📅 Tuesday, 15th September 2026
⏰ 6:30 PM
📍 Le Jardin – Alliance Française de Dar es Salaam
🎟️ Free Entrance
_____________
🎬 [SINEMA] MUVI KALI: WADJA AT 100
“Danton” – Andrzej Wajda (PL)
Ikiwa katika kipindi cha Mapinduzi ya Ufaransa, Danton inaangazia mvutano kati ya viongozi wawili wa mapinduzi wanapokabiliana na maswali magumu kuhusu haki, uhuru na madaraka ya kisiasa.
Ni tamthilia ya kisiasa isiyopitwa na wakati, ambayo inaendelea kuwa na umuhimu na kugusa hisia za vizazi mbalimbali.
Mfululizo huu wa Muvi Kali unaungwa mkono na Ubalozi wa Poland.
❗ TAARIFA MUHIMU
📅 Jumanne, 15 Septemba 2026
⏰ Saa 12:30 jioni
📍 Le Jardin – Alliance Française de Dar es Salaam
🎟️ Hakuna Kiingilio