- This event has passed.
MUVIKALI – BELLE ET SEBASTIEN NOUVELLE GENERATION
February 27, 2024 @ 8:00 pm
FreeMUVI KALI: “Belle et Sébastien:nouvelle génération” (Belle & Sebastien: new generation) directed by Nicolas Vanier (CA)
Synopsis: 10-year-old Sebastien reluctantly spends his vacation in the mountains with his grandmother and aunt. He is to help them with the sheep, hardly an exciting prospect for a city boy like him… but that is without considering his encounter with Belle, a huge dog mistreated by her owner. Ready to do anything to fight injustice and to protect his new-found friend, Sebastien will spend the craziest summer of his life.
RECAP
On Tuesday, 27th of February at 8pm
At the Alliance Française of Dar Es Salaam
Free Entrance
__________
CINEMA] MUVI KALI: “Belle et Sébastien:nouvelle génération” (Belle & Sebastien: kizazi kipya) iliyoongozwa na Nicolas Vanier (CA)
Muhtasari: Sebastien mwenye umri wa miaka 10 anatumia likizo yake milimani na bibi na shangazi yake. Anahitajika kuwasaidia na kondoo, jambo ambalo ni gumu na la kusisimua ambalo hakulitarajiwa hasa kwa mvulana wa mjini kama yeye… hatahivyo bila kufikiria kukutana kwake na Belle, mbwa mkubwa aliyedhulumiwa na mmiliki wake. Akiwa tayari kufanya lolote ili kupambana na ukosefu wa haki na kumlinda rafiki yake mpya aliyempata, Sebastien atatumia majira ya kiangazi ya maisha yake.
Siku ya Jumanne, tarehe 27 Februari saa mbili usiku
Alliance Française ya Dar Es Salaam
Hakuna Kiingilio !