
- This event has passed.
NGOMA NGOMA EDITION
February 26 @ 3:00 pm - 6:00 pm

NGOMANGOMA EDITION 2 –
USIKOSE!Tunayo furaha kubwa kukukaribisha kwenye msimu wa pili wa NGOMANGOMA!
Tarehe: 26/02/2025
Mahali: Bustani za Botanic
Muda: Kuanzia saa 9:00 alasiri Mwezi huu tunazamia kwenye Asili ya Ngoma ya Bom, mojawapo ya ngoma zinazotamba visiwani!
Njoo tuburudike, tuelimike, tupige na tucheze ngoma kwa uhuru! Hii ndio sehemu pekee ambapo mashabiki wanaweza kushiriki moja kwa moja bila kikwazo!NGOMA NGOMA ZETU NI NOOOOMAAA!