
- This event has passed.
NIGHT OF FOLKS MUSIC
August 21 @ 7:00 pm
Free
Experience the vibrant rhythms of Poland ๐ต๐ฑ as Jodliniok โ the student folk ensemble from Wrocลaw โ brings traditional music, colorful costumes, and high-energy dance to Dar es Salaam! ๐๐ช
Karibuni sana to a night of cultural exchange, dialogue, and pure joy through music & dance ๐๐ถ
***
โจUsiku wa Muziki wa Folk โจ
Pata ladha ya midundo yenye nguvu kutoka Poland ๐ต๐ฑ huku Jodliniok โ kikundi cha wanafunzi wa folk kutoka Wrocลaw โ wakiwasilisha muziki wa jadi, mavazi yenye rangi angavu, na dansi zenye nguvu huko Dar es Salaam! ๐๐ช
Karibuni sana kwa usiku wa kubadilishana tamaduni, mazungumzo, na furaha safi kupitia muziki na dansi ๐๐ถ
๐
21 August | ๐ 7 PM / Saa Moja Usiku
๐ Goethe-Institut
๐ Free entry / kuingia bure!