- This event has passed.
PAINT AND SIP WITH UZURI
May 25, 2024 @ 3:00 pm
Tsh40000Kwa mara ya nyengine, tunawakaribisha wote kufanya painting pale THE CUBE Mindu street, hauhitaji kuwa mchoraji mzuri au mzoefu, yeyote anaweza kuja kufurahi na kunywa. Waambie familia na marafiki!
Vinywaji sio vya vilevi.