- This event has passed.
PAINT, SIP & MISHIKAKI
November 30, 2024 @ 3:00 pm
TSh.45,000Mackenzies Presents: Paint,Sip and Mishikaki
Karibuni sana katika event yetu ya paint,sip & mishikaki ambapo utapata fursa ya kujifunza vitu vipya,kukutana na watu wapya na connections mpya,pia zaidi kufurahi pamoja na wapendwa wako huku mkiwa mna paint, sip and enjoying our mishikaki and drinks😍
Hii sio ya kukosa,tell a friend to tell a friend this will be epic 😍😍😍