- This event has passed.
PAUKWA PAKAWA FILM FESTIVAL
July 6, 2024
FreeJe? Wewe ni mwandishi wa miswada ama producer? Na una idea ya filamu ama tamthilia Yako na haujui jinsi ya kuiwakilisha kwa mteja? Mnunuzi na msambazaji?
MASTER CLASS HII NI KWAJILI YAKO.
WRITING A PITCH DECK AND PITCHING YOUR IDEA .
(NI BUREEEEE KABISA)
TAREHE : 8th na 9th July 2024
MUDA : 10:00 asubuhi- 04:00 Jioni
VENUE : Alliance francaise
Tuma maombi ya idea ama filamu Yako ambayo unaifanyia development pamoja na motivation letter.
KUPITIA : [email protected]
MAWASILIANO: +255 718250656
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 06/07/2024.
CC @univeso_film_lab
@univeso_film_lab