Loading Events

  • This event has passed.

PICHA LA LEO FILM SCREENING: UNDER THE FIG TREES

July 25 @ 7:00 pm - 10:00 pm

Venue

Ajabu Ajabu
Kwa Mwalimu Mikocheni, Dar es Salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
0672188770
View Venue Website

Organizer

Ajabu Ajabu
Phone:
0672188770
Email:
ajabuajabuhouse@gmail.com
View Organizer Website

Details

Date:
July 25
Time:
7:00 pm - 10:00 pm
Event Category:
Website:
https://linkfly.to/PichaLaLeo

Other

Area(Town/City)
Dar Es Salaam

This Friday ✨✨✨join us for Under The Fig Trees, a beautifully intimate Tunisian drama directed by Erige Sehiri, following a day in the life of fig‑pickers as their lives, romances, and quiet rebellions unfold in the open fields.

Ijumaa hii, ungana nasi kwenye onesho ya filamu, Under The Fig Trees, iliongozwa na Erige Sehiri. Ni Hadithi kutoka Tunisia inayoelezea siku moja ya wafanyakazi wa shamba la mtini — mazungumzo, mahusiano, na ndoto zikichanua chini ya kivuli cha miti.

🥤 Snacks and drinks will be served.
🔗 For more information, to register and for directions, visit the link

🥤 Kutakuwa na vinywaji na vitafunwa.
🔗 Kwa maelezo zaidi, kujisajili, na jinsi ya kufika, tembelea link.

https://linkfly.to/PichaLaLeo