- This event has passed.
POP – UP MARKET
April 13, 2024
Tsh50,000Je wewe ni mfanya biashara na unatamani kuikuza biashara yako, kukutana na wateja wapya na kupata connection itakayosaidia biashara yako?
Hii ni yakwako.
Kwa 50,000 tuu unaweza ku-book space kwenye event yetu itakayofanyika tarehe 13 April siku ya Jumamosi pale Rafikizi, Mwai Kibaki Road @rafikiz_tz
Kutakua na ofa kabambe na garage sale
Una ngoja nini?
Tupigie sasa kupitia +255 758 550 421 leo na kuweka nafasi yako.
N.B: Nafasi zimebaki chache. Lipia mapema