
- This event has passed.
PRINT MAKING TECHNIQUE CLASS
May 14 @ 10:00 am - 1:00 pm

AfriRafiki HLC wanakuletea PRINTMAKING TECHNIQUE CLASS (Kwa watoto na wakubwa)
chini ya Msanii wa Sanaa za Uoni/Visual Arts Ms. SAFINA KIMBOKOTA @safinakimbokota (Mkufunzi wa Sanaa UDSM)
🗓️ Ni J’mosi 17 May, 2025
⌚ Saa 04.00 asbh – 7.00 mchana
📍 AfriRafiki – House of Languages
& Culture @afrirafiki
Kigamboni – Gezaulole
Jumba la Maendeleo Mbuamaji
(Near Geza Beach / DAWASA)
Kujiandikisha na maelezo zaidi: 0754950535