- This event has passed.
SANAA NA WANAWAKE – TANGAZO LA USAJILI WA WANAWAKE
July 21, 2024
FreeSANAA NA WANAWAKE (SAWA)
TANGAZO LA USAJILI KWA WANAWAKE .
Wito kwa wasanii wa kike jijini Mwanza kushiriki katika mafunzo ya sanaa ya uoni mwezi Agosti, 2024. Jifunze kufanya sanaa yako katika ubora wa hali ya juu zaidi.
Tuma michoro yako Bora mitano (5) kwa barua pepe: [email protected]
Mwanzo wa kujisajili: 5 July 2024
Mwisho: 21 July 2024
Matokeo kutangazwa: 26 July