- This event has passed.
Singeli Festival opening party
October 23, 2024 @ 6:00 pm - 10:00 pm
FreeSafari ya #singelifesti2024 inaanza rasmi tarehe 23 Oktoba pale Alliance Française! @af_dar
Kiingilio ni miguu yako, mwambie mwenzako, Waswahili tuna jambo letu na LINAWAKA BALAAA…
NARUDIA KIINGILIO NI BUREEEEE walete masela ushuani😂
The #singelifesti2024 journey officially kicks off on October 23rd at Alliance Française! @af_dar
Get ready for the electrifying Singeli music purely from Tanzania
This is just the beginning of our festival, don’t miss out.
FREE ENTRANCE
#SingeliTakesOver #ourcultureourpride #tanzania
All music lovers and stakeholders, let’s say SINGELI2theWORLD!
Cc @ubt.tanzania @franceintanzania @af_dar @efmtanzania @tvetanzania @nafasiartspace @rongoni_beach_resort_ @sautizabusara @wizara_sanaatz @basata.tanzania @kandorobaba_entertainment_tz @kandorobabahub_tz
#singelifesti2024 #singelifesti5thedition #singeli2theworld #singeli #viralvideos #uswahilini #uswahilinikwetu #music #diamondplatnumz #girls #mczomorfani #barobaro